Saturday, 13 January 2018

80% WAHITAJI WA DAMU NI WANAWAKE


ASILIMIA 80 ya wanaohitaji damu nchini ni wanawake kwa sababu mbalimbali ikiwemo uzazi salama wakati wa kujifungua kwa njia ya kawaida na njia ya upasuaji

BALOZI WA AUSTRALIA AJITAMBULISHA RASMI NCHINI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Balozi Mteule wa Australia nchiniTanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, WANG Ke kabla ya kwasilisha Nakala za Hati za

MSICHANA ALIYEVAA HIJAB ASHAMBULIWA CANADA


Khawlah Noman na afamilia yake wakihutubia vyombo vya habari baada ya kitendo hicho

Polisi nchini Canada wanachunguza shambulizi dhidi ya msichana mwenye umri wa miaka 11 wa kiislamu, baada ya mwanamme mmoja kudaiwa kwamba alijaribu mara kadhaa kukata kwa makasi vazi lake la

TRUMP 'KUIOMBA MSAMAHA AFRIKA'

Image result for trump
Umoja wa Afrika unasema matamshi ya yanayodaiwa kutolewa na rais wa Marekani Donald Trump kuhusu bara Afrika ni wazi kwamba ni ya ubaguzi wa rangi

Wednesday, 29 November 2017

AFARIKI BAADA YA KUNYWA SUMU MAHAKAMANI

Slobodan Praljak swallowing what is believed to be poison, during his judgement at the UN war crimes court to protest the upholding of a 20-year jail term
Kikao cha kusikiliza rufaa iliyowasilishwa na washtakiwa wa uhalifu wa kivita mjini The Hague, Uholanzi kimesitishwa ghafla baada ya mmoja wa washtakiwa kusema amekunywa sumu baada ya kusikiliza

Saturday, 25 November 2017

RAIS MAGUFULI KUHUDHURIA KUAPISHWA KWA UHURU KENYATTA

Related image
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ni miongoni mwa viongozi mbali mbali duniani watakaohudhuria kuapishwa kwa rais wa Kenya Uhuru

Friday, 8 April 2016

WACHINA KWA KUKWEPA KULIPA KODI



Mfanyabiashara Raia wa Kichina, Huifang Ma akiwa chini ya ulinzi wa Polisi katika Mahakama ya mwanzo Ilala jijini Dar es Salaam jana kwa tuhuma za kukwepa kulipa kodi. Picha na Venance Nestory
 Raia wawili wa China, Ma Jun na Huifang Ma leo wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashtaka mawili likiwamo la kushindwa