Friday, 8 April 2016

WACHINA KWA KUKWEPA KULIPA KODI



Mfanyabiashara Raia wa Kichina, Huifang Ma akiwa chini ya ulinzi wa Polisi katika Mahakama ya mwanzo Ilala jijini Dar es Salaam jana kwa tuhuma za kukwepa kulipa kodi. Picha na Venance Nestory
 Raia wawili wa China, Ma Jun na Huifang Ma leo wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashtaka mawili likiwamo la kushindwa

Tuesday, 5 April 2016

ICC: RUTO NA SANG HAWANA KESI YA KUJIBU



 Bw Ruto alikuwa ameshtakiwa pamoja na mwanahabari Joshua Sang

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imeamua Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto hana kesi ya kujibu kuhusiana na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binadamu yaliyokuwa yanamkabili.