| Mfanyabiashara
Raia wa Kichina, Huifang Ma akiwa chini ya ulinzi wa Polisi katika
Mahakama ya mwanzo Ilala jijini Dar es Salaam jana kwa tuhuma za kukwepa
kulipa kodi. Picha na Venance Nestory |
Ni ukurasa ambao utakuwa unakuletea habari mbalimbali zinazohusu masuala ya SIASA pamoja na UCHUMI kutoka sehemu mbalimbali za nchi na nje ya nchi
Friday, 8 April 2016
WACHINA KWA KUKWEPA KULIPA KODI
Tuesday, 5 April 2016
ICC: RUTO NA SANG HAWANA KESI YA KUJIBU
Bw Ruto alikuwa ameshtakiwa pamoja na mwanahabari Joshua Sang
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imeamua Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto hana kesi ya kujibu kuhusiana na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binadamu yaliyokuwa yanamkabili.
Subscribe to:
Posts (Atom)