Saturday, 13 January 2018

80% WAHITAJI WA DAMU NI WANAWAKE


ASILIMIA 80 ya wanaohitaji damu nchini ni wanawake kwa sababu mbalimbali ikiwemo uzazi salama wakati wa kujifungua kwa njia ya kawaida na njia ya upasuaji

BALOZI WA AUSTRALIA AJITAMBULISHA RASMI NCHINI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Balozi Mteule wa Australia nchiniTanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, WANG Ke kabla ya kwasilisha Nakala za Hati za

MSICHANA ALIYEVAA HIJAB ASHAMBULIWA CANADA


Khawlah Noman na afamilia yake wakihutubia vyombo vya habari baada ya kitendo hicho

Polisi nchini Canada wanachunguza shambulizi dhidi ya msichana mwenye umri wa miaka 11 wa kiislamu, baada ya mwanamme mmoja kudaiwa kwamba alijaribu mara kadhaa kukata kwa makasi vazi lake la

TRUMP 'KUIOMBA MSAMAHA AFRIKA'

Image result for trump
Umoja wa Afrika unasema matamshi ya yanayodaiwa kutolewa na rais wa Marekani Donald Trump kuhusu bara Afrika ni wazi kwamba ni ya ubaguzi wa rangi