Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Balozi Mteule wa Australia nchiniTanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, WANG Ke kabla ya kwasilisha Nakala za Hati za
Utambulisho.
Balozi Mteule wa Australia nchiniTanzania mwenye makazi
yake Nairobi, Kenya, Mhe. WANG Ke akiwasilisha Nakala za Hati za
Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga jijini Dar Es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiwa katika mazungumzo na Balozi Mteule wa
Australia nchiniTanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. WANG
Ke mara baada ya zoezi la kwasilisha Nakala za Hati za Utambulishokukamilika.
Mazungumzo yanaendelea

No comments:
Post a Comment